Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ulaya ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ulaya ya Kati

Ulaya ya Kati ni kanda ya bara laUlaya iliyopo baina yaUlaya ya Mashariki naUlaya ya Magharibi.Katika mpangilio waUmoja wa Mataifa unaofuata kawaida ya miaka yaVita baridi hakuna Ulaya ya Kati kwa sababu wakati ule kitovu cha Ulaya kiligawiwa kisiasa kati ya mashariki (Umoja wa Kisovyeti) na magharibi (NATO). Hata hivyo kiutamaduni watu wa sehemu zile hawajisikii kama watu wa Ulaya ya Magharibi wala Mashariki.

Kwa kawaida nchi zifuatazo huhesabiwa kama sehemu za Ulaya ya Kati:

Kihistoria nchi hizi zote ziliwahi kuwa sehemu za madola makubwa yaDola la Ujerumani naAustria-Hungaria.

Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano swali lanchi za Kibalti kamaLatvia.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ulaya_ya_Kati&oldid=1427463"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp