Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Uji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sahani ya uji wa mtama.
Mtoto akipata uji,mchoro waWilliam Hemsley (1893).

Uji nikinywaji kinachopikwa kwa kuchemshaunga namaji ukawa laini.

Mara nyingi hupendwaasubuhi na kwa ajili yawatoto nawagonjwa.

Unga unaotumika unaweza kuwa wamahindi, lakini piamtama,ulezi,uwele n.k.

Maandalizi ya uji

[hariri |hariri chanzo]
  • 1. Wekamaji kiasi kwenyesufuria auchungu.
  • 2. Wekajikoni.
  • 3. Wekaunga kiasi.
  • 4. Acha kwa muda wadakikamoja kisha ukikorogea hivyo hivyo mpaka utakapoonamabuja yametoweka.
  • 5. Acha kwa muda uji uchemke dakika.
  • 6. Epua uji wako, kisha uacheupoe.

Uji wako utakuwa tayari kwa kunywa.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuUji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uji&oldid=1117740"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp