
Waislamu wamo kwenye asilimia 38.6 ya idadi yote ya wakazi wa nchiniIvory Coast.[1]In Ivory Coast, Waslamu wanasali, wanafunga, na kutoa sadaka kama inavyohitajika na mafunzo ya Kiislamu, na walio wengi huenda hija na imefanywa kama kiada. Waislamu walio wengi wa Kiivoiri ni dhehebu laSunni, wanaofuata mafundisho ya ImamMaliki.[2][3][4]
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)