Ufini ina idadi ya watu takriban milioni 5.6 namji mkuu wake niHelsinki, ambao pia nimji mkubwa zaidi nchini. Nchi hii inamazingira ya kuvutia yenyemaziwa mengi (takriban 188,000) namisitu mikubwa inayochukua sehemu kubwa ya ardhi yake. Ufini pia hujulikana kwa kuwa namajira ya baridi kali na mchana mfupi wakati wa majira ya baridi kaskazini, huku maeneo yaAktiki yakipata kipindi cha usiku mrefu wa majira ya baridi na mwanga wa saa 24 wakati wamajira ya joto.
Waswidi wako hasa upande wa kusini mwa nchi, kwa jumla ni takriban 5.1% ya wakazi; hasavisiwa vya Aland kuna Waswidi watupu walio na hali ya kujitawala ndani ya Ufini.
Wakazi asilia niWasami ambao wako kaskazini tu. Maisha yao yanategemeauwindaji naufugaji; wako wachache, jumla yao haifikii 0.2% ya wakazi wote.
Mbali na hao, kunawahamiaji (11.1%), hasa kutokaRussia, Estonia, Asia (3.8%) naAfrika (1.4%).
Wakazi wenye lugha ya Kiswidi wako upande wa kusini mwa nchi kwa sababu Ufini ilitawaliwa na Uswidi kwakarne nyingi. Katika karne hizo walikuwepo Waswidi waliohamia Ufini lakini kuna pia Wafini walioanza kutumia Kiswidi pekee. Hasa kwenye visiwa vya Aland Kiswidi ni lugha pekee. Lakini Waswidi wa Ufini wanajisikia Wafini.
Upande wadini, 62.2% niWalutheri, 1%Waorthodoksi na 1% Wakristo wengine.Madhehebu makuu mawili yaUkristo yanatambulika na kupewa nafasi katika matukio mbalimbali nashuleni. 2% wanafuata dini au madhehebu mengine, wakati 34.9% hawana dini yoyote.
↑IMF."Plt ya Ufini" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo2025-02-20.
123Hitilafu ya kutaja: Invalid<ref> tag; no text was provided for refs namedauto1
↑Georg Haggren, Petri Halinen, Mika Lavento, Sami Raninen and Anna Wessman (2015).Muinaisuutemme jäljet. Helsinki: Gaudeamus. uk.23.ISBN978-952-495-363-4.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
↑Georg Haggren, Petri Halinen, Mika Lavento, Sami Raninen ja Anna Wessman (2015).Muinaisuutemme jäljet. Helsinki: Gaudeamus. uk.339.ISBN9789524953634.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
↑Finland was the first nation in the world to give all (adult) citizens full suffrage, in other words the right to vote and to run for office, in 1906. New Zealand was the first country in the world to grant all (adult) citizens the right to vote, in 1893. But women did not get the right to run for the New Zealand legislature, until 1919.
↑"Finland". International Monetary Fund. Iliwekwa mnamo17 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
↑"Fragile States Index 2016". Fundforpeace.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 4 Februari 2017. Iliwekwa mnamo27 Novemba 2016.{{cite web}}:Unknown parameter|deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)
Makala hii kuhusu maeneo yaUlaya bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuUfini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.