Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Uchumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uchumi


Uchumi ni jumla ya shughuli zote zabinadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Ni hasauzalishaji,usambazaji nautumiaji wabidhaa pamoja na kutolewa kwahuduma kwa njia mbalimbali.

Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi zakijiji,eneo,taifa audunia.

Sayansi ya Uchumi (kwaKiingerezaeconomics) nitawi la elimu inayochunguza masharti ya uchumi kufaulu au kushindwa.

Sekta za uchumi

[hariri |hariri chanzo]

Uchumi wajadi katika nchi nyingi ulikuwa hasakilimo cha kujikimu pamoja nabiashara ya kubadilishana bidhaa kadhaa zenyethamani kubwa. Kwa mfano, tangu kalemigodi yaZimbabwe ilichimbadhahabu iliyopelekwa baadaye hadiAsia na kando yaMediteranea.

Katika uchumi wa kisasa mara nyingi sektatatu hutofautishwa:

  • Sekta ya tatu: biashara au usambazaji wa bidhaa hizi kwawateja pamoja na kuwatolea huduma. Mifano nimaduka yanayouza bidhaa zilizotengenezwa viwandani. Mingine ni huduma kamabenki,hoteli,sinema nausafiri.

Tazama Pia

[hariri |hariri chanzo]

Usambazaji na Mahitaji
Mizani ya Biashara

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo yauchumi bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuUchumi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Uchumi&oldid=1391087"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp