Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Ubangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto wa Ubangi
Ubangi inavyoonekana kutoka angani kati ya maeneo ya mashamba na msitu wa mvua
ChanzoMaungano ya mitoMbomou naUele mpakani waJamhuri ya Afrika ya Kati naJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
MdomoMto Kongo (karibu naMbandaka)
NchiJamhuri ya Afrika ya Kati,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Jamhuri ya Kongo
Urefu850 km, pamoja na Uele 2.272 km
TawimitoMbomou,Uele
Mkondo7,000 m³/s
Eneo labeseni613,202 km²
Miji mikubwa kando lakeBangui

Ubangi nitawimto mkubwa wamtoKongo na kati yamito mirefu ya Afrika.

Chanzo chake ni maungano ya mitoMbomou naUele kwenye mpaka waJamhuri ya Afrika ya Kati (J.A.K.) naJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (J.K.K.).

Mto waelekea kwanzamagharibi halafu magharibi-kusini ukipitiamji mkuuBangui.

Mwendo wote wa mto Ubangi ni mpaka wa kimataifa: kwanza kati ya J.A.K. na J.K.K., halafu kati ya J.K.K. naJamhuri ya Kongo.

Ubangi waishia katika mto Kongo takribankilomita 90kusini kwamji waMbandaka.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaAfrika bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuUbangi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Ubangi&oldid=1148257"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp