Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

TypeScript

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
TypeScript
TypeScript Logo
Shina la studionamna : namna nyingi inaozingatiwa kuhusu kipengee
ImeanzishwaFebruari 122012 (2012-02-12) (umri 14)
MwanzilishiAnders Hejlsberg
Ilivyo sasaIlivutwa na: C#, Java, JavaScript

Ilivuta: AtScript, AssemblyScript

MahalaMicrosoft
Tovutihttps://www.typescriptlang.org

TypeScript nilugha ya programu. Iliundwa naAnders Hejlsberg na ilianzishwatarehe12 Februari2012. Iliundwa ili kuumbaprogramu. Leo tunatumia TypeScript 3.8.2. Ilivutwa naJavascript.

Inaitwa TypeScript kwa sababu ni mageuzi ya Javascript, lugha ya programu nyingine.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Ilianzishwa 12 Februari 2012 nchiniMarekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanyakazi kuhusu TypeScriptmwaka wa2010.

Falsafa

[hariri |hariri chanzo]

Namna ya TypeScript ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia

[hariri |hariri chanzo]

Sintaksia ya TypeScript ni rahisi sana kinyume cha lugha za programu nyingine kamaC++,COBOL auC sharp. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya TypeScript

[hariri |hariri chanzo]

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

varujumbe:string="Jambo ulimwengu !";console.log(ujumbe);

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

moduleFactorialModule{exportclassFactorialClass{fact:number=1;factorial(n:number){while(n>0){this.fact=this.fact*n;n=n-1;}returnthis.fact;}}}

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Bierman, G., Abadi, M., & Torgersen, M. (2014, July). Understanding typescript. In European Conference on Object-Oriented Programming (pp. 257-281). Springer, Berlin, Heidelberg.
  • Richards, G., Zappa Nardelli, F., & Vitek, J. (2015). Concrete types for TypeScript. In 29th European Conference on Object-Oriented Programming (ECOOP 2015). Schloss Dagstuhl-Leibniz-Zentrum fuer Informatik.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=TypeScript&oldid=1108352"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp