Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Tumi Molekane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tumi Molekane

T akiburudisha katika mapokezi ya tukio la Ubunifu kwa Afya Bora
Amezaliwa16 Agosti1981
Tanzania
NchiAfrika Kusini
Kazi yakemshairi /mwimbaji



Tumi Molekane (16 Agosti1981) nimshairi namwimbaji wamuziki wa kufokafoka wa nchiniAfrika ya Kusini; alikuwa mmoja waviongozi wakundi lamuziki laTumi and the Volume lililokuja kuvunjikamwaka2012. Mwaka2016 Tumi alianzisha kundi jingine lilioitwaStogie T[1] na kuachiaalbamu yao ya kwanza ilioitwaStogie T wakishirikiana naDa L.E.S, Lastee,Emtee,Nasty C,Nadia Nakai naYanga.[2]

Wasifu

[hariri |hariri chanzo]

Molekane alizaliwa nchiniTanzania nawazaziraia wanchi yaAfrika Kusini.[3] Mwaka1992 alihamia nchini Afrika ya Kusini na kuishi katikamji waSoweto.[4]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Tumi Mogano relaunches himself as Stogie T".Channel (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo2018-02-28.
  2. "Stogie T Releases His New Album's Tracklist".SA Hip Hop Mag (kwa American English). 2016-11-17. Iliwekwa mnamo2018-02-28.
  3. "Sauti za Busara: Tumi and the Volume".Mambo Magazine. Iliwekwa mnamo2016-02-10.
  4. Zonke Ndlovu (2024-05-01)."Stogie T to release new extended play,".Metrobaze (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 2024-05-23. Iliwekwa mnamo2024-05-23.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuTumi Molekane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Tumi_Molekane&oldid=1355324"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp