Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Toscana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mkoa wa Toscana
Bendera ya Toscana.
Bendera ya Toscana.
Mkoa wa Toscana katika Italia.
Wilaya za Toscana.

Toscana (ing.Tuscany) ni mmoja kati yamikoa 20 ya Italia.

Iko katikati yarasi ya Italia,kaskazini kwaRoma.

Imepakana na mikoa yaEmilia-Romagna,Liguria,Umbria,Marche naLazio, mbali yabahari ya Kati.

Eneo lake ni lakm² 20,990.

Jumla ya wakazi ilikuwa 3,516,000mwaka2004.

Mji mkuu niFirenze.

Toscana huitwamkoa mzuri wa Italia kwa sababu yahali ya hewa,uzuri wamabonde namilima naurithi wake wautamaduni nasanaa.

Jiografia

[hariri |hariri chanzo]

Sehemu kubwa ni eneo la vilima-vilima.

Kunatambarare katikabonde lamto Arno.

Wilaya

[hariri |hariri chanzo]

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]


 
Mikoa yaItalia
Mikoa ya kawaida
Abruzzo |Basilicata |Calabria |Campania |Emilia-Romagna |Lazio |Liguria |Lombardia |Marche |Molise |Piemonte |Puglia (Apulia) |Toscana |Umbria |Veneto |
Mikoa yenye katiba ya pekee
Friuli-Venezia Giulia |Sardinia |Sisilia |Trentino-Alto Adige |Valle d'Aosta
Makala hii kuhusu maeneo yaItalia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuToscana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Toscana&oldid=1407402"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp