Toribio Romo
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Toribio Romo (jina kamili kwaKihispaniaToribio Romo González;Santa Ana de Guadalupe,Jalisco,Mexico,19 Septemba1900 -Tequila, Jalisco,25 Februari1928) alikuwapadri waKanisa Katoliki nchiniMeksiko hadialipouawa na waliochukia upadri bilakesi wakati waVita vya Wakristero[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangazamwenye heri tarehe22 Novemba1992 halafumtakatifumfiadini tarehe21 Mei2000 pamoja na wenzake 24 waliofiadini katikavita hivyo[2]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kilatarehe21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe yakifodini chake[3].
![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |