Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Tonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pule'anga Tonga
Kingdom of Tonga (Ufalme wa Tonga)
Bendera ya TongaNembo ya Tonga
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa: Ko e 'Otua mo Tonga ko hoku tofi'a
("Mungu na Tonga ni urithi wangu")
Wimbo wa taifa:Ko e fasi 'o e tu'i 'o e 'Otu Tonga
Lokeshen ya Tonga
Mji mkuuNuku'alofa
21°08′ S 175°12′ W
Mji mkubwa nchiniNuku'alofa
Lugha rasmiKitonga,Kiingereza
SerikaliUfalme
Tupou VI
Siaosi Sovaleni
Ufalme
Uhuru
4 Juni1970,
kutoka nchi lindwa chini yaUingereza
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
748 km² (ya 175)
4
Idadi ya watu
 - [[]] kadirio
 -2021 sensa
 - Msongamano wa watu
 
(ya 199)
100,209
139/km² (ya 761)
FedhaPa'anga (TOP)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+13)
(UTC+13)
Intaneti TLD.to
Kodi ya simu+676

-

1 Takwimu za 2005.


Tonga ninchi ya visiwani yaPolynesia katikaPasifiki yakusini yenye wakazi 102,321.

Eneo lake nifunguvisiwa lenyevisiwa 169 kusini kwaFiji naSamoa nakaskazini kwaNew Zealand. Visiwa 52 tu vina wakazi (100,000 hivi).

Jiografia

[hariri |hariri chanzo]

Eneo lote lanchi kavu ya visiwa nikm² 750.

Kisiwa kikubwa niTongatapu chenye eneo la km² 260.

Mahali pa juu katika Tonga nivolkeno yamlima wa Kao (ambacho ni kisiwa cha Kao chenyewe) wenyekimo chamita 1,030.

Lugha na dini

[hariri |hariri chanzo]

Kunalugha tatu tu ambazo huzungumzwa nchini Tonga:Kiingereza (lugha rasmi),Kitonga (lugha rasmi) naKiniuafo’ou ambayo inazidi kufifia.

Upande wadini, 96.9% wanajitambulisha kamaWakristo, hasaWamethodisti (53.7%) naWakatoliki (14.2%), mbali yaWamormoni (18.6%).

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]


Nchi_na maeneo yaAustralia na Pasifiki
Australia |Fiji |Guam |Hawaii |Kaledonia Mpya |Kiribati |Kisiwa cha Pasaka |Mikronesia |Nauru |Nyuzilandi |Niue |Pitcairn |Polinesia ya Kifaransa |Palau |Papua Guinea Mpya |Samoa |Samoa ya Marekani |Visiwa vya Cook |Visiwa vya Mariana ya Kaskazini |Visiwa vya Marshall |Visiwa vya Solomon |Tonga |Tuvalu |Vanuatu |Wallis na Futuna
Makala hii kuhusu eneo fulani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Tonga&oldid=1346484"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp