Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Togo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Togo
République togolaise (Kifaransa)
Kaulimbiu:Travail, Liberté, Patrie
("Kazi, Uhuru, Taifa")
Wimbo wa taifa:Terre de nos aïeux ("Ardhi ya Mababu Zetu")
Mahali pa TogoMahali pa Togo
Mji mkuu
na mkubwa
Lomé
Lugha rasmiKifaransa
Lugha ya taifaKiewe,Kikabiye,Yoruba,Tem,Aja,Ifè, n.k.
Kabila (2023)
  • 94.4% Waafrika
  • 5.6% Wengine
Dini (2020)
 Rais
Jean-Lucien Savi de Tové
Faure Gnassingbé
Historia
5 Julai 1884
  Uhuru kutoka Ufaransa
27 Aprili 1960
Eneo
  Jumlakm2 56,785(ya 123)
  Maji (asilimia)4.2%
Idadi ya watu
  Kadirio la 20249,583,381
  Msongamano125.9/km2
PLT (PPP)Kadirio la 2023
  Jumla $25.103 bilioni
  Kwa kila mtu $2,767
PLT (Kawaida)Kadirio la 2023
  Jumla $9.621 bilioni(ya 157)
  Kwa kila mtu$1,004
HDI (2022)decrease 0.547
-chini
Gini (2015)43.1
SarafuFaranga ya CFA ya Afrika Magharibi (XOF)
Majira ya saaUTC+00:00 (GMT)
Msimbo wa simu+228
Jina la kikoa.tg

Togo, rasmiJamhuri ya Togo ni nchi katikaAfrika ya Magharibi kwenyemwambao waGhuba ya Guinea katikabahari yaAtlantiki. Inapakana naBenin upande wamashariki,Burkina Fasokaskazini naGhanamashariki. Mnamo 2024 Togo ina watu takriban milioni 9.5 na kuifanya nchi ya 97 duniani kwa idadi ya watu.Mji mkuu na mkubwa zaidi niLome.

Jiografia

[hariri |hariri chanzo]

Togo ni nchi ndogo katikaAfrika yenyekm² 56,785 pekee kwaumbo lapembenne lenyeurefu wa urefu wa kilometa za mrabakm 550 naupana wa takriban km 130. Mwelekeo wa eneo la nchi ni kaskazini - kusini.

Humo kuna kanda zote za kijiografia za Afrika ya Magharibi kuanziapwani yenyemchanga namisitu yaminazi kusini,vilima vyanyanda za juu katikati nasavana pamoja na maeneoyabisi zaidi yaSahel kaskazini.

Ramani ya Togo na mikoa yake.

Historia

[hariri |hariri chanzo]
Makala kuu:Historia ya Togo

Nchi hii ilianzishwa kamakoloni laTogo ya Kijerumani katika pengo kati ya maeneo yaUingereza naUfaransa.

Baada yaVita Kuu ya Kwanza ya Dunia koloni la Kijerumani liligawiwa kati ya majirani hao kamaeneo lindwa chini yamamlaka yaShirikisho la Mataifa na baadaye yaUmoja wa Mataifa.

Mnamo Desemba1956 wakazi waTogo ya Kiingereza waliamua kwakura kubaki na Ghana. Hivyo niTogo ya Kifaransa pekee iliyopatauhuru wake mnamo Aprili 27, mwaka1960.

Rais wa kwanza wa Togo alikuwaSylvanus Olympio.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Nchini kuna makabila 37; kubwa zaidi niWaewe (32%).Wazungu hawafikii 1%.

Lugha rasmi niKifaransa, ingawa kwa kawaida wakazi wanazungumzalugha za kikabila.

Upande wadini, mwaka2020 ilikadiriwa kuwa 47.8% niWakristo (hasa waKanisa Katoliki) 33% wanafuatadini asilia za Kiafrika na 18.4% niWaislamu (hasaWasuni).

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • Bullock, A L C,Germany's Colonial Demands (Oxford University Press, 1939).
  • Gründer, Horst,Geschichte der deutschen Kolonien, 3. Aufl. (Paderborn, 1995).
  • Mwakikagile, Godfrey,Military Coups in West Africa Since The Sixties (Nova Science Publishers, Inc., 2001).
  • Packer, George,The Village of Waiting (Farrar, Straus and Giroux, 1988).
  • Piot, Charles,Nostalgia for the Future: West Africa After the Cold War (University of Chicago Press, 2010).
  • Schnee, Dr. Heinrich,German Colonization, Past and Future – the Truth about the German Colonies (George Allen & Unwin, 1926).
  • Sebald, Peter,Togo 1884 bis 1914. Eine Geschichte der deutschen "Musterkolonie" auf der Grundlage amtlicher Quellen (Berlin, 1987).
  • Seely, Jennifer,The Legacies of Transition Governments in Africa: The Cases of Benin and Togo (Palgrave Macmillan, 2009).
  • Zurstrassen, Bettina,"Ein Stück deutscher Erde schaffen". Koloniale Beamte in Togo 1884–1914 (Frankfurt/M., Campus, 2008) (Campus Forschung, 931).

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali
Taarifa za jumla
Vyombo vya habari
Biashara
Utalii


Nchi zaAfrikaBara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) |Afrika Kusini |Algeria |Angola |Benin |Botswana |Burkina Faso |Burundi |Cabo Verde |Chad |Cote d'Ivoire |Eritrea |Eswatini |Ethiopia |Gabon |Gambia |Ghana |Guinea |Guinea Bisau |Guinea ya Ikweta |Jibuti |Kamerun |Kenya |Komori |Kongo (Jamhuri ya) |Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) |Lesotho |Liberia |Libya |Madagaska |Malawi |Mali |Misri |Morisi (Visiwa vya) |Mauritania |Moroko |Msumbiji |Namibia |Niger |Nigeria |Rwanda |Sahara ya Magharibi |Sao Tome na Principe |Senegal |Shelisheli |Sierra Leone |Somalia |Sudan |Sudan Kusini |Tanzania |Togo |Tunisia |Uganda |Zambia |Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje yaAfrika
Hispania:Kanari·Ceuta·Melilla |Italia:Pantelleria·Pelagie |Ufaransa:Mayotte·Réunion |Uingereza:·St. Helena·Diego Garcia |Ureno:Madeira
Nchi wanachama waUmoja wa Afrika (AU)
Makala hii kuhusu maeneo yaAfrika bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuTogo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Togo&oldid=1437621"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp