Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Titicaca (ziwa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaTiticaca)
Ziwa Titicaca
Ziwa Titicaca kutoka angani.

Ziwa Titicaca liko kwenyeAltiplano yaAndes kati yaPeru naBolivia.

Niziwa kubwa la pili katikaAmerika Kusini lenye eneo lakilomita za mraba 8,372. Liko kwenyekimo chamita 3,809juu ya UB.Maji yake yanakina chamita 105, Hivyo ni ziwa la juuduniani lenyeusafiri wameli ndogo; kuna piamanowari yajeshi la majini.

Mito 25 inaingia ziwani. Kunavisiwa vingi.

Picha za Titicaca

[hariri |hariri chanzo]
  • Sherehe kwenye kisiwa cha Taquile
    Sherehe kwenye kisiwa cha Taquile
  • Watoto wa kisiwa cha Taquile
    Watoto wa kisiwa cha Taquile
  • Meli ya mizigo na abiria ziwani.jpg
    Meli ya mizigo na abiria ziwani.jpg
  • Mashua ya wenyeji asilia wa Titicaca
    Mashua ya wenyeji asilia wa Titicaca
  • Kisiwa cha Taquile
    Kisiwa cha Taquile
Makala hii kuhusu maeneo yaAmerika Kusini bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuTiticaca (ziwa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Titicaca_(ziwa)&oldid=1350152"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp