Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Tiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Binadamu akipewa tiba namadaktari

Tiba (au:Uganga) nielimu kuhusumagonjwa yabinadamumwilini narohoni, jinsi ya kuzuia magonjwa na kurudishauzima.Matibabu ni muhimu kwaafya ya binadamu na yanahitajika sana ili kumpamaisha mazuri.

Tiba imeendelea kiasi cha kuwa namatawi yanayoangalia hasa:

Kila somo dogo linawataalamu wake.

Watu wanaoshughulikia magonjwa ya watu huitwa matabibu au waganga. Mara nyingi watu huwaita "daktari", lakinineno hili lamaanisha zaidicheo cha kufauluchuo kikuu kwenye ngazi ya juu; mara nyingi waganga husoma hadi cheo cha daktari wa tiba.

Watu wanaofanyakazi pamoja na tabibu nimuuguzi (nesi) na wasaidizi wengine.

Elimu hiyo inayofuata mbinu za kisayansi ni tofauti nauganga wa kienyeji au wakimila.

Makala hii kuhusu mambo yatiba bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuTiba kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Tiba&oldid=1187926"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp