Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Thomas More

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas More

Thomas More (7 Februari14786 Julai1535) alikuwamwanasheria kutokaUingereza.

Papa Leo XIII alimtangazamwenye heritarehe29 Desemba1886, halafuPapa Pius XI alimtangaza kuwamtakatifumfiadini tarehe19 Mei1935.

Sikukuu yake inaadhimishwa pamoja na ile yaJohn Fishertarehe22 Juni kufuatana nakalenda rasmi yaKanisa Katoliki[1], na6 Julai katikaKanisa la Anglikana.

Maisha

[hariri |hariri chanzo]

Thomas More alizaliwa katikamji waLondon tarehe7 Februari mwaka 1478.

Alisoma katikaChuo Kikuu cha Oxford nchiniUingereza, akaoa na kupatawatoto wanne.

Aliteuliwa kuwa Mkuu waMahakama wa Uingereza.

Aliandikavitabu kadhaa kuhusu mambo ya kiserikali, na vingine vya kuteteaimani ya Kanisa Katoliki.

Pamoja naMt. John Fisher alishindana naMfalmeHenri VIII kuhusu suala la kuivunjandoa ya huyo mfalme. Kwaamri ya Henri, wote wawili waliopinga kuvunjwa kwa ndoa yake walifungwagerezani na kuuawa kwa kukatwakichwa, kwanza John Fisher tarehe 22 Juni, halafu Thomas More tarehe6 Julai, mwaka1535[2].

Sala yake

[hariri |hariri chanzo]

Bwana mwema, utujalie neema ya kuyafanyia kazi yale tunayokuomba.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Maandishi yake

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi: “CW” inarejeleaYale Edition of the Complete Works of St. Thomas More (New Haven and London 1963–1997)

Yaliyotolewa akiwa hai (mwaka)

[hariri |hariri chanzo]
  • A Merry Jest (c. 1516) (CW 1)
  • Utopia (1516) (CW 4)
  • Latin Poems (1518, 1520) (CW 3, Pt.2)
  • Letter to Brixius (1520) (CW 3, Pt. 2, App C)
  • Responsio ad Lutherum (1523) (CW 5)
  • A Dialogue Concerning Heresies (1529, 1530) (CW 6)
  • Supplication of Souls (1529) (CW 7)
  • Letter Against Frith (1532) (CW 7)
  • The Confutation of Tyndale's Answer (1532, 1533) (CW 8)
  • Apology (1533) (CW 9)
  • Debellation of Salem and Bizance (1533) (CW 10)
  • The Answer to a Poisoned Book (1533) (CW 11)

Yaliyotolewa baada ya kifo chake(mwaka wa utungaji)

[hariri |hariri chanzo]
  • The History of King Richard III (c. 1513–1518) (CW 2 & 15)
  • The Four Last Things (c. 1522) (CW 1)
  • A Dialogue of Comfort Against Tribulation (1534) (CW 12)
  • Treatise Upon the Passion (1534) (CW 13)
  • Treatise on the Blessed Body (1535) (CW 13)
  • Instructions and Prayers (1535) (CW 13)
  • De Tristitia Christi (1535) (CW 14)

Tafsiri

[hariri |hariri chanzo]
  • Translations of Lucian (many dates 1506–1534) (CW 3, Pt.1)
  • The Life of Pico della Mirandola (c. 1510) (CW 1)

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. Martyrologium Romanum
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/27900

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Maisha

[hariri |hariri chanzo]

Historia

[hariri |hariri chanzo]
  • Gushurst-Moore, André. "A Man for All Eras: Recent Books on Thomas More"Political Science Reviewer, 2004, Vol. 33, pp 90–143
  • Guy, John. "The Search for the Historical Thomas More,"History Review (2000) pp 15+

Vyanzo vikuu

[hariri |hariri chanzo]
  • More, Thomas.Yale Edition of the Complete Works of St. Thomas More (New Haven and London 1963–1997)links
  • Roper, William.The Life of Sir Thomas More (1556) ed. by Gerard B. Wegemer and Stephen W. Smith (Center for Thomas More Studies, 2003)[2]Ilihifadhiwa 8 Juni 2012 kwenyeWayback Machine.
  • More, Thomas.Utopia (Norton Critical Editions) ed. by George M. Logan and Robert M. Adams (3rd. ed. 2010)
  • More, Thomas.Saint Thomas More: Selected Writings ed. by John F. Thornton (2003)
  • More, Thomas.The Last Letters of Thomas More ed. by Alvaro de Silva (2001)

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Thomas_More&oldid=1307086"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp