Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Theresa May

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha rasmi, 2016 Waziri Mkuu wa Uingereza akiwa ofisini
Picha rasmi: Waziri Mkuu wa Uingereza akiwa ofisini mwaka 2016

Maria Theresa May (/təˈriːzə/;[1] nee Brasier; amezaliwaEastbourne,Sussex, 1 Oktoba1956) nimwanasiasa waUingereza aliyehudumia kamaWaziri Mkuu wa nchi naKiongozi waChama cha Conservative tangu mwaka2016. hadi2019. Yeye aliwahi kuwaHome Secretary kutoka 2010 hadi mwaka 2016. Mei alichaguliwaMbunge mara ya kwanza kwa ajili ya jimbo laMaidenhead mwaka wa1997.

Angalia pia

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Ball, James (17 Julai 2016)."This Is What It's Like To Work In Government For Theresa May".BuzzFeed News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutokachanzo mnamo 6 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo6 Juni 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Theresa_May&oldid=1355967"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp