
Theofani Vénard,M.E.P. (Saint-Loup-sur-Thouet,Dayosisi yaPoitiers,Ufaransa,21 Novemba1829 -Vietnam Kaskazini,2 Februari1861) alikuwapadri ambaye, baada ya kufanya miaka sitaumisionari kwasiri na kwa shida nyingi nchiniVietnam, alifungwa katikatundu akakubali kwa utulivu kuuawa kwa ajili yaimani katikadhuluma yakaisariTu Duc[1][2].
Ni mmojawapo kati yaWakristowafiadini wa Vietnamwaliouawa kwa ajili yaimani yao huko Vietnam katikakarne ya 17,18 na19 (1625–1886).
Wanatajwa pia kamaWatakatifuAndrea Dũng-Lạc na wenzake 116.
Kwa nyakati tofauti,Papa Leo XIII,Papa Pius X naPapa Pius XII waliwatangaza kuwawenye heri, halafuPapa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanyawatakatifuwafiadinitarehe19 Juni1988.
Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe24 Novemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe2 Februari[3].
| Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |