Theodoro wa Studion (Konstantinopoli, leo nchiniUturuki,759[1] – Cape Akritas,Bitinia,826) alikuwammonaki, halafuabati wamonasteri yaStudionmjini.[2]
Aliifanya kuwashule ya wasomi, watakatifu nawafiadini wahanga wadhuluma za waliopingaheshima kwapicha takatifu. Kwa kutetea kwa nguvu heshima hiyo, bila kujali kwamba msimamo wake ulimvutia dhuluma kutoka kwakaisari napatriarki zilizoathiri sanaafya yake, alipelekwa uhamishoni mara tatu.
Pia alishika nafasi muhimu katika kufufuaumonaki nafasihi hukoBizanti.
Akiheshimu sanamapokeo yaMababu wa Kanisa na ili kufafanuaimani sahihi aliandikavitabu maarufu kuhusu mada za msingi wa mafundisho yaKikristo.
Kati ya vitabu vyake vingi,barua kuhusuurekebisho wa monasteri ndiyomaandishi ya kwanza kupingautumwa.[3][4]
Tangu kale anaheshimiwa naWaorthodoksi naWakatoliki kamamtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwatarehe11 Novemba[5] au12 Novemba.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite book}}
:Invalid|ref=harv
(help){{cite book}}
:Invalid|ref=harv
(help){{cite book}}
:Invalid|ref=harv
(help){{cite journal}}
:Invalid|ref=harv
(help){{cite book}}
:Invalid|ref=harv
(help){{cite book}}
:Invalid|ref=harv
(help){{cite journal}}
:Invalid|ref=harv
(help){{cite book}}
:Invalid|ref=harv
(help) (Online text)![]() | Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |