The Supremes |
---|

|
Maelezo ya awali |
---|
Pia anajulikana kama | The Primettes; Diana Ross & the Supremes |
---|
Asili yake | Detroit,Michigan, Marekani |
---|
Aina ya muziki | Pop,R&B,soul,psychedelic soul,Motown,doo-wop,disco |
---|
Miaka ya kazi | 1959–1977 |
---|
Studio | Lu Pine (Primettes),Motown (Supremes) |
---|
Ame/Wameshirikiana na | The Temptations,Four Tops,The Marvelettes |
---|
Wanachama wa zamani |
---|
Florence Ballard Diana Ross Mary Wilson Betty McGlown Barbara Martin Cindy Birdsong Jean Terrell Lynda Laurence Scherrie Payne Susaye Greene |
The Supremes lilikuwa kundi la waimbaji wa kike kutoka nchiniMarekani. Kundi lilikuwa kiungo kikubwa kwa studio yaMotown Records kunako miaka ya 1960.
Awali lilianzishwa likiwa na jina laThe Primettes huko mjiniDetroit,Michigan, kunako 1959, midundo yao The Supremes ilikuwa pamoja nadoo-wop,pop,soul, tuni za maonesho yaBroadway,psychedelic soul, nadisco. Lilikuwa kundi lililopata mafanikio makubwa kibiashara kwa Motown, hadi leo, kundi la Kimarekani lililopata mafanikio zaidi[1] likiwa na vibao 12 vilivyoshika nafasi ya kwanza kwenye chati zaBillboard Hot 100.
Vibao vikali vingi vilivyotungwa na kutayarishwa na kikosi kikubwa cha utunzi na utayarishaji wa muziki cha Motown,Holland–Dozier–Holland. Wakati wa kilele chao katikati mwa miaka ya 1960, The Supremes walishindana vya kutosha naThe Beatles kwa umaarufu dunia nzima,[2] na mafanikio yao yameleta uwezekano wa baadaye kwa wanamuziki waR&B na soul waKiafrika-Kiamerika kupata mafanikio sawa.
- Adrahtas, Thomas.A Lifetime to Get Here: Diana Ross: the American Dreamgirl. AuthorHouse, 2006.ISBN 1-4259-7140-7
- Benjaminson, Peter.The Lost Supreme: The Life of Dreamgirl Florence Ballard. Chicago: Chicago Review Press, Novemba 2007. 75-79.ISBN 1-55652-705-5
- Chin, Brian & Nathan, David.Reflections Of...The Supremes [CD boxed set liner notes]. New York: Motown Record Co./Universal Music, 2000.
- Clinton, Paul. "Diana Ross' tour excludes old partner, friendIlihifadhiwa 19 Machi 2005 kwenyeWayback Machine.".CNN.com, 20 Aprili 2000.
- Gans, Andrew. "Foxx and Usher to Join Beyonce forDreamgirls Film".Playbill, 12 Mei 2005.
- Mary Wilson: An Interview Supreme by Pete Lewis, 'Blues & Soul' May 2009Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenyeWayback Machine.
- Nathan, David.The Soulful Divas: Personal Portraits of over a Dozen Divine Divas. New York: Billboard Books/Watson-Guptill Publications, 2002.ISBN 0-8230-8430-2.
- Posner, Gerald.Motown: Music, Money, Sex, and Power. New York: Random House, 2002.ISBN 0-375-50062-6.
- Wilson, Mary & Romanowski, Patricia.Dreamgirl & Supreme Faith: My Life as a Supreme. New York: Cooper Square Publishers, 1986.ISBN 0-8154-1000-X.
- George, Nelson.Where Did Our Love Go: The Rise and Fall of the Motown. London: Omnibus Press, 1985.ISBN 0-7119-9511-7.
- Ross, Diana.Secrets of a Sparrow: Memoirs. New York: Random House, 1993.ISBN 0-517-16622-4.
- Taraborrelli, J. Randy.Diana Ross: An Unauthorized Biography. London: Sidgwick & Jackson, 2007.ISBN 978-0-283-07017-4.
- Ribowsky, Mark. "The Supremes: A Saga of Motown Dreams, Success, and Betrayal". New York: Da Capo Press, 2009.ISBN 0-306-81586-9.
- Wilson, Mary.Dreamgirl, My Life as a Supreme. New York: St. Martin's Press, 1986.ISBN 0-312-21959-8
|
---|
|
---|
| Studio albums | |
---|
Duet albums | |
---|
Live albums | |
---|
Other albums | |
---|
Singles (US/UK Top Ten singles) | |
---|
Videography | |
---|
In fiction | |
---|
Related topics | |
---|
|
|