Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Thanos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Thanos.

Thanos ni mmoja wawahusika wanaojitokeza katikavitabu yavibonzo zakampuni ya huko nchiniMarekani iitwayoMarvel Comics. Mhusika hiyo iliumbwa naJim Starlin.

Kwa mara ya kwanza mhusika huyu alionekana katikafilamu yaThe Invincible Iron Man. Mhusika huyu amekuwa akionekana katika filamu nyingi za Marvel, mfano katikaAvengers n.k.

Makala bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Thanos&oldid=1291457"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp