Wilaya ya Temeke
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine
Wilaya ya Temeke niwilaya mojawapo kati ya 5 zaMkoa wa Dar es Salaam nchiniTanzania yenyepostikodinamba15000.
Katikasensa yamwaka2012,idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 1,368,881[1]. Katikasensa ya mwaka2022 walihesabiwa 1,346,674[2].
![]() | Makala hii kuhusu maeneo yaDar es Salaam bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusuWilaya ya Temeke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |