Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Teluri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Teluri (tellurium)
Fuwele ya teluri tupu yenye urefu wa 2 cm
Fuwele ya teluri tupu yenye urefu wa 2 cm
Jina la ElementiTeluri (tellurium)
AlamaTe
Namba atomia53
Mfululizo safuSimetali
Uzani atomia127.60
Valensi2, 8, 18, 18, 6
Densiti6.24 g/cm³
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka722.66 K (449.51°C)
Kiwango cha kuchemka1261 K (988 °C)
Asilimia zaganda la dunia1 · 10-6 %
Hali maadamango
Mengineyo

Teluri (kutokakilatini tellus "ardhi") ni nusumetali aumetaloidi yenyenamba atomia 53 katikamfumo radidia.Uzani atomia ni 127.60.

Tabia

[hariri |hariri chanzo]

Telluri ni elementi haba duniani. Ikitokea kwa umbo la fuwele ina rangi nyeupe-kifedha. Ni kechu lakini si gumu sana hivyo huvunjika haraka hadi kuwa vumbi. Hutokea pia kwa umbo la unga kahawia.

Matumizi

[hariri |hariri chanzo]

Hutumiwa hasa katikaaloi mbalimbali na kamanusukipitisho.


Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuTeluri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Teluri&oldid=947868"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp