Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Tedros Adhanom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tedros Adhanom Ghebreyesus (kwaGe'ez: ቴዎድሮስ አድሓኖም ገብረኢየሱስ; amezaliwa3 Machi1965) nimtafiti waafya ya umma waEthiopia naafisa wake aliyetumikia tangumwaka2017 kamaMkurugenzi Mkuu waShirika la Afya Duniani.

Tedros ndiye mtu wa kwanza ambaye si daktari na wa kwanza wa Kiafrika katikajukumu hilo, ambaye amethibitishwa naUmoja wa Afrika.

Ameshika nafasi mbili za hali ya juu katikaserikali ya Ethiopia:Waziri wa Afya kutoka2005 hadi2012 naWaziri wa Mambo ya Nje kuanzia 2012 hadi2016.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuTedros Adhanom kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Tedros_Adhanom&oldid=1115743"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp