Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Tawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matawi ya vipimo mbalimbali.
Matawi na majani.

Tawi (kwaKiingereza:branch) ni sehemu yamti isiyokuwemo katikashina lake.

Kulingana na aina ya mti, matawi yake yanaweza naumbo na ukubwa tofauti sana.

Kwa mfano wa miti,vitu vingine vinaweza kuwa na matawi, kwa mfano:mto (tawimto),kampuni (kampuni tanzu) n.k.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo yabiolojia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuTawi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Tawi&oldid=1288544"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp