Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Tambarazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tambarazi
Tambarazi madoadoa
Tambarazi madoadoa
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:Animalia (Wanyama)
Faila:Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila:Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli:Aves (Ndege)
Oda:Passeriformes (Ndege kamashomoro)
Familia ya juu:Certhioidea (Ndege kamatambarazi)
Familia:Certhiidae (Ndege walio na mnasaba na tambarazi)
Ngazi za chini

Jenasi 2 na spishi 11:

Tambarazi nindege wadogo wafamiliaCerthiidae. Wana rangi ya kahawia au kijivu na madoa au michirizi nyeupe mgongoni na nyeupe chini. Domo lao limepindika na linatumika ili kutafutawadudu chini yagome.Tambarazi madoadoa nispishi pekee yaAfrika kwa kweli. InatokeaUhindi ya kaskazini pia. HukoAfrika ya Kaskazini kunanususpishi ya tambarazi waUlaya:tambarazi kaskazi.

Tambarazi hula wadudu tu. Tambarazi madoadoa hulijenga tago lao kwa umbo la kikombe juu ya tawi la mlalo na hulificha chini yakuvumwani, mavi yaviwavi natandabui. Spishi nyingine hulijenga tago lao kwa umbo la kikombe juu ya vijiti vilivyokwama kati ya gome na shina. Jike huyatagamayai 3-9.

Spishi za Afrika

[hariri |hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri |hariri chanzo]

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Tambarazi madole-mafupi
    Tambarazi madole-mafupi
  • Brown creeper
    Brown creeper
  • Sikkim treecreeper
    Sikkim treecreeper
  • Common treecreeper
    Common treecreeper
  • Bar-tailed treecreeper
    Bar-tailed treecreeper
  • Hodgson's treecreeper
    Hodgson's treecreeper
  • Hume's treecreeper
    Hume's treecreeper
  • Nepal treecreeper
    Nepal treecreeper
  • Sichuan treecreeper
    Sichuan treecreeper
  • Indian spotted creeper
    Indian spotted creeper
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Tambarazi&oldid=1135773"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp