Quran inasema yafuatayo juu ya swala ya Ijumaa:"Enyi mlio amini, Kukiadhiniwa kwa ajili ya swala ya Ijumaa, nendeni upesi kumtaja Mwenyezi Mungu, na muacheni biashara zenu, kwani kufanya hivyo ni bora ikiwa mnajua".Suratul Jummuah aya ya 62[2]}}
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.