Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sunna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu yamfululizo wa makala juu ya

Uislamu

Imani na ibada zake

Umoja waMungu
Manabii
Misahafu
Malaika
Uteule
Kiyama
Nguzo za Kiislamu
ShahadaSwalahSaumu
HijaZaka

Waislamu muhimu

Muhammad

Abu BakrAli
Ukoo wa Muhammad
Maswahaba wa Muhammad
Mitume na Manabii katika Uislamu

Maandiko na Sheria

AzifQur'anSunnahHadithi
Wasifu wa Muhammad
Sharia
Elimu ya Sheria za KiislamuKalam

Historia ya Uislamu

Historia
SunniShi'aKharijiyaRashidunUkhalifaMaimamu

Tamaduni za Kiislamu

ShuleMadrasa
TauhidiFalsafaMaadili
Sayansi
SanaaUjenziMiji
KalendaSikukuu
Wanawake
ViongoziSiasa
Uchumi
UmmaItikadi mpyaSufii

Tazama pia

Uislamu na dini nyingine
Hofu ya Uislamu

Sunan Abi Daud ni mkusaniko wa hadith za Mtume Muhammad ambazo ni msingi wa kuamulia sunna yake

Sunna (pia:sunnah, kutokaKiarabu : سنة,neno linalomaanisha "mila", "mapokeo" au "njia".[1]) KwaWaislamu, Sunnah inamaanisha "njia ya mtumeMuhammad"[2].

Wasomi Waislamu wanajifunza juu ya Sunna kwa kusomahadithi elfu kadhaa juu ya Muhammad,familia yake, na wafuasi wake wa kwanza. Haditho hizi zinaitwaHadith.

Jina ladhehebu kubwa katika Uislamu niWasuni, nalo limetokana na neno sunna, kwa maana ni waumini wanaolenga kufuata sunna ya mtume wao.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. Juynboll, G.H.A. (1997). "Sunna". In P. Bearman; Th. Bianquis; C.E. Bosworth; E. van Donzel; W.P. Heinrichs (eds.). Encyclopaedia of Islam. 9 (2nd ed.). Brill. pp. 878–879.
  2. Qazi, M.A.; El-Dabbas, Mohammed Saʿid (1979). A Concise Dictionary of Islamic Terms. Lahore, Pakistan: Kazi Publications. p. 65.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Stub iconMakalahii kuhusu Uislamu bado nimbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuongezea habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sunna&oldid=1408251"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp