Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sumeri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hati yaKisumeri inayoonyeshamapatano ya kuuzanyumba nashamba. Maandishi nimwandiko wa kikabari.

Sumeri ilikuwa kati yatamaduni za juu za kwanza katikaAsia ya Magharibi na hasaMesopotamia (Iraq ya leo). Labda ilikuwautamaduni wa kwanza wa kujengamiji.

Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenyerutuba kati yamitoFrati naHidekeli tangu mwaka3500 KK.Elimu yaakiolojia imeweza kuthibitisha ya kwambaWasumeri walijenga miji na kuendelezamaandishi.

Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumiamwandiko wa kikabari kwenyevigae vya mwandiko wa kikabari, yaani vipande vyaudongo mbichi waufinyanzi na kuvichoma.

Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu yakalenda za leo kwa kugawasiku katikasaa 24 nasaa katikadakika 60. Pia waliwekakumbukumbu yamifugo namazao katika maandishi.

Wasumeri waliishi katikadola-miji iliyotawaliwa nawafalme au makuhani.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuSumeri kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sumeri&oldid=1058968"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp