Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sufu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sufu ya kondoo wakati wa majira ya baridi
Sufu iliyokatwa na kusafishwa; kulia: uzi fupi; kushoto: uzi ndefu

Sufu (pia:sufi, tazama pale; kutokakar. صوفsuf[1]) ninywele manyoya laini zawanyama mbalimbali kama vilekondoo,mbuzi,ngamia,lama ausungura zinazofaa kusokotwa kuwauzi ndefu kwa matumizi yanguo au matandiko na blanketi.

Sufu ilianza kutumiwa kwa nguo tangu miaka 4000KK na watu wamechagua wanyama wanaofaa na kuwafuga kwatabia hii. Leo hii kiasi kikubwa kabisa cha sufu kinapatikana kutokana na kondoo. Nchi yaAustralia ina kondoo nyingi duniani inazaa asilimia 30 za mahitaji ya sufu duniani.


Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  1. neno asilia katikaKiarabu صوفsuf lamaanisha nywele manyoya laini yakondoo na wanyama wengine limeingia katika Kiswahili kwa maumbo ya sufi nasufu


Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sufu&oldid=1311549"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp