Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Subrahmanyan Chandrasekhar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Subrahmanyan Chandrasekhar

Subrahmanyan Chandrasekhar (19 Oktoba191021 Agosti1995) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi yaMarekani. Amezaliwa nchiniPakistan. Anajulikana hasa kwa utafiti wake wa mifanyiko tendani ya kifizikia ya nyota. Mwaka wa 1983, pamoja naWilliam Fowler alikuwa mshindi waTuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuSubrahmanyan Chandrasekhar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Subrahmanyan_Chandrasekhar&oldid=1067762"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp