Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Stibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Stibi au Antimoni (stibium)
Alotropia ya kimetali ya stibi yenye rangi buluu-nyeupe
Alotropia ya kimetali ya stibi yenye rangi buluu-nyeupe
Jina la ElementiStibi au Antimoni (stibium)
AlamaSb
Namba atomia51
Mfululizo safuSimetali
Uzani atomia121.760
Valensi2, 8, 18, 18, 5
Densiti6,697 g/cm³ kufuatana na alotropia zake
Ugumu (Mohs){{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka903.78 K (630.63°C)
Kiwango cha kuchemka1860 K (1587 °C)
Asilimia zaganda la dunia7 · 10-5 %
Hali maadamango
MengineyoStibi ni chaguo la jedwali ya elementi yaKAST, "wanja wa manga" hutajwa katikaM-J SSE); lugha nyingi duniani hutumia nenoantimon.

Kunaalotropia nne


Antimoni auStibi (kutokakigiriki stimmi/stibi na Kilatini stibium iliyotaja kampaundi ya elementi) ni nusumetali aumetaloidi yenyenamba atomia 51 katikamfumo radidia.Uzani atomia ni 121.760.

Tabia

[hariri |hariri chanzo]

Elementi hutokea kwaalotropia nne na ile ya kawaida ni ya metaloidi yenye rangi buluu-nyeupe. Alotropia za rangi njano na nyeusi ni simetali tena si thabiti.

Matumizi

[hariri |hariri chanzo]

Matumizi yake ni katika rangi, madawa ya kuzuia moto, aloi nyingi na kutengeneza kompyuta.

Kihistoria kampaundi ya stibi (antimon) ilitumiwa kama wanja (kohl) yaani rangi ya upara.

Makala hii kuhusu mambo yakemia bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuStibi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Stibi&oldid=1229705"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp