Star Wars imekuwa maarufu sana kwasababu, kumekuwa navitabu vya vyake,michezo ya video, vipindi vyatelevisheni, vidude vya kuchezea vya watoto, na mengineyo.
Star Wars pia inajulikana kwamuziki wake wa kimapenzi, na moja ya vipande vya muziki maarufu sana vilivyoandikwa kwa ajili yasinema, naJohn Williams.
Katika sinema hizi, maroboti huitwa madroidi, zilizochukuliwa kutoka kwa neno la Kiingereza na neno la Kiingereza (maana ya mwanadamu), ingawa wengi wao hawana muonekano wa kibinadamu. Mashujaa na wahalifu katikafilamu hutumia mapanga yanishati inayoitwalightabers ambayo yanaweza kukata chochote.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusuStar Wars kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.