Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Stabat Mater

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stabat Mater nisekwensya maarufu iliyotungwa katikakarne ya 13 na inayotumika kati ya masomo yaMisa siku yaBikira Maria wa Mateso,tarehe15 Septemba.

Jina hilo laKilatini linamaanisha "Mama alikuwa amesimama" na linafikirishamateso yaBikira Maria aliposimama chini yaMsalaba wa Yesu kadiri yaInjili ya Yohane 19:25.

Watunzi wengi wamuziki walitianotautenzi huo, kama vile:

Picha

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. 1.001.011.021.031.041.051.061.071.081.091.101.111.12Dvořák: Stabat Mater. Oratorio for Soloists, Chorus and Orchestra atSupraphon website.
  2. Entry for Antoni Soler'sStabat Mater at The Ultimate Stabat Mater Site: A Musical Journey Through the Ages. [Accessed 16 December 2020].
  3. "Kuula - The ultimate Stabat Mater site".The ultimate Stabat Mater site (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo2018-04-06.
  4. "James MacMillan - Stabat Mater". Boosey & Hawkes. Iliwekwa mnamo2017-04-14.
  5. Stabat Mater for mezzo-soprano and male choir (2017)

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Search WikisourceWikisource has original text related to this article:
Familia
Maisha
Maisha ya awali katikaMapokeo
KatikaBiblia
Maisha ya baadaye katikaMapokeo
Apokrifa
Mariolojia
Ukristo
Uislamu
Heshima
Sifa
Sala
Sanaa
Ukristo wa Magharibi
Ukristo wa Mashariki
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuStabat Mater kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Stabat_Mater&oldid=1240030"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp