Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sofa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sofa kadhaa katika maeneo yaufukwe wabahari.

Sofa (kutokaneno laKiingereza lilitokana naKituruki likiwa naasili yaKiarabusuffa, yaani "sufu"; piakochi kutokana na Kiingereza "couch") nikiti chastarehe cha kisasa kinachoundwa kwa kutumiambaomagodoro nakitambaa maalumu.

Sofa ni maarufu sana: kwa sasa hutumika sehemu mbalimbali kamanyumbani,ofisini, katika masaluni n.k.

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]
  • John Gloag,A Short Dictionary of Furniture rev. ed. 1962. (London: Allen & Unwin)
  • The Grove Encyclopedia of Decorative Arts, Volume 2, page 369, Oxford University Press 2006ISBN 9780195189483
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuSofa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sofa&oldid=1232450"
Jamii:
Jamii iliofichwa:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp