Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sobhuza II wa Uswazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutokaSobhuza II)

Ngwenyama Sobhuza II (22 Julai1899 -21 Agosti1982) alikuwa mfalme waUswazi kuanzia tarehe10 Desemba1899 hadi kifo chake. Wakati wa utoto wake, Malkia Labotsibeni Mdluli alitawala badala yake. Sobhuza alipewa utawala tarehe22 Desemba1921.

Baada ya kifo chake alifuatwa na mwana wakeMswati III baada ya utawala wa Malkia Dzeliwe na Malkia Ntombi.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusuSobhuza II wa Uswazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sobhuza_II_wa_Uswazi&oldid=887773"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp