Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sinaloa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Ulama, Sinaloa
Bendera ya Sinaloa
Mahali pa Sinaloa katikaMexiko

Sinaloa ni moja kati ya majimbo 31 yaMexiko upande wa magharibi ya nchi. Upande wa magharibi niGhuba ya California (au Bahari ya Cortez). ImepakanaSonora,Chihuahua,Durango naNayarit.

Mji mkuu na mji mkubwa niCuliacán. Jimbo lina wakazi wapatao 2,208,652 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 58,238.

Utalii na kilimo huajiri watu wengi.

Gavana wa jimbo niJesús Aguilar Padilla.

Lugha rasmi niKihispania.

Miji Mikubwa

[hariri |hariri chanzo]
  1. Culiacán (793,703)
  2. Los Mochis (451,977)
  3. Mazatlán (352,471)




Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]



Makala hii kuhusu maeneo yaMexiko bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuSinaloa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sinaloa&oldid=1123793"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp