Silvano wa Homs
Zana
Kijumla
Chapa/peleka nje
Miradi mingine

Silvano wa Homs (alifarikiHoms,Syria,311 hivi) alikuwa kwa miakaarubainiaskofu wamji huo ambaye aliuawa kwaimani yaKikristo kwa kutupwa pamoja nashemasiLuka namsomajiMosyo waliwe nawanyama wakati wadhuluma yakaisariMaximinus[1].
Tangu kale anaheshimiwa naWakatoliki naWaorthodoksi kamamtakatifumfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwatarehe6 Februari[2].
| Makala hii bado nimbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari. |