Idadi ya wakazi ni ndogo: kuna milioni 23 pekee. Walio wengi niWarusi (79%) wanaoishi mjini. Wakazi asilia (21%) ni vikundi vingi vidogo; walio wengi ni wasemaji walugha za Kiturki.Utamaduni wao ulikuwauwindaji naufugaji lakini sasa ni wachache tu wanaoendelea hivyo.
Kipindi cha baridi ni kirefu, kipindi cha joto ni kifupi. Sehemu kubwa ya Siberia inafunikwa natheluji kwa muda wa miezi tisa kilamwaka. Hivyokilimo kinawezekana katika kanda nyembamba la kusini. Sehemu kubwa nchi imefunikwa namisitu. Lakini maeneo baridi sana ya kaskazini hapanamiti tena, nimanyasi namajani tu.
Makala hii kuhusu maeneo yaUrusi bado nimbegu. Je unajua kitu kuhusuSiberia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.