Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Shinto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Geti latorii kwenye hekalu la Kishinto. Katika Shinto,torii inaashiria kifungu kutoka kwa ulimwengu wa kimwili hadi ulimwengu wa kiroho na wa kimungu.

Shinto auUshinto nidini ya jadi nchiniJapani. HadiVita Kuu ya Pili ya Dunia ilikuwadini rasmi yaserikali na yaKaisari wa Japani.

Imani ya Shinto ni katikamiungu aupepo wengi wanaoitwa "kami". Wengine wao ni kamamiungu, wengine niroho zamiti,mito aumilima, wengine tena nimizimu. Kati ya kami muhimu zaidi kuna amaterasu (jua),dunia,mbingu.

Kunamakuhani wanaotunzahekalu ambakosadaka hutolewa kwa kami hizi. Wajapani wengi hushiriki katikaibada za kami, wakikumbukamababu namarehemu wengine, hata wakifuatadini nyingine kamaUbuddha auUkristo.

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado nimbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Shinto&oldid=1262573"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp