Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sevilla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanisa kuu naofisi ya kale yamakoloni "Archivo de Indias"
Jumba la Alcazar lililojengwa namafundi Waislamu kwa niaba ya wafalmeWakatoliki

Sevilla nimji mkubwa kando yamtoGuadalquivir kusini mwaHispania namji mkuu wa jimbo la kujitawala laAndalusia.

Mwaka2019 wakazi wake walikuwa 688,592[1] na kuufanya wa nne nchini kwa wingi wa watu.

Historia

[hariri |hariri chanzo]

Mji ulianzishwa zamani zaWafinisia ukaja kukaliwa na kutawaliwa naWaroma wa Kale,Wavandali halafu naWavisigothi na tangumwaka711 naWaarabuWaislamu. Mwaka1248 ulitekwa nawafalme waKastilia na kubaki upande wa Hispania yaKikristo.

Majengo mengi mazuri yanatunza kumbukumbu yahistoria hiyo.Boma laAlcazar lilijengwa na mafundi Waislamu kwa niaba ya wafalme Wakatoliki. Sevilla ilikuwa na ofisi kuu ya utawala kwa makoloni ya Hispania katikaAmerika.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal".INE.

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaHispania bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuSevilla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sevilla&oldid=1432457"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp