Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Serie A

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Serie A niligi kuu kati yatimu zasoka zilizopo nchiniItalia na mshindi anapataubingwa wa Italia.

Serie A ni kati yaligi zenyeushindani mkubwaduniani na ilikuwa ligi boraduniani mwaka2014.

Ilianzishwa mnamomwaka1929 ikiwa na timu 16 na sasa ina timu 20.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado nimbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusuSerie A kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Serie_A&oldid=1273869"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp