Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Seram

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Seram

Seram (piaCeram) ni kisiwa chaIndonesia. Kiko katikati ya funguvisiwa yaMaluku. Eneo la kisiwa ni 17,100km². Miji mikubwa kisiwani ni Dataran Hunipopu, Dataran Hunimoa na Masohi. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 434,113 . Watu wakaao kisiwani kwa Seram huongea lugha mbalimbali, hasaKimanusela naKinuaulu.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Seram&oldid=1119666"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp