Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Septemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ago -Septemba -Okt
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Septemba nimwezi watisa katikaKalenda ya Gregori.Jina lake limetokana naneno laKilatiniseptem, maana yake ni "saba".Mwaka wa153KK, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutokaMachi kwendaJanuari, na maana ya jina lake Septemba ilipotea.

Tarehe 20, mwezi huo wa Septemba, nisiku mlingano (auikwinoksi kutokaKiingerezaequinox) ambapojua huvuka mstari waikweta, na muda wausiku namchana unalinganaduniani kote (ila maeneo yancha ambaponusu ya jua hubaki chini yaupeo wa macho na nusu nyingine juu kwa siku nzima).

Septemba ina siku 30, na inaanza na siku yajuma sawa na mwezi waDesemba.

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Septemba&oldid=1007033"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp