Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Seoul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Majengo ya kihistoria na ya kisasa mjini Seoul

Seoul nimji mkuu namji mkubwa katikaKorea ya Kusini. Kihistoria na hadi mwaka1945 ilikuwa mji mkuu wa Korea yote.

Ina wakazi 10,276,968 kwenye eneo lakm² 610.

Seoul iko kando yamto Han katikati yarasi ya Korea karibu na mpaka naKorea ya Kaskazini.

Jiji nikitovu chasiasa,uchumi,utamaduni naelimu ya Korea Kusini.

Seoul ilikuwa mahali pamichezo ya olimpiki ya mwaka1988.

Makala hii kuhusu maeneo yaAsia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuSeoul kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Seoul&oldid=988000"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp