Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sengi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sengi
Isanje (Petrodromus tetradactylus)
Isanje (Petrodromus tetradactylus)
Uainishaji wa kisayansi
Domeni:Eukaryota(Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya:Animalia(Wanyama)
Faila:Chordata(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:Mammalia(Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda ya juu:Afrotheria(Wanyama ambao wahenga wao waliishiAfrika)
Oda:Macroscelidea(Wanyama kamaisanje)
Familia:Macroscelididae
Bonaparte, 1838
Ngazi za chini

Jenasi 4, spishi 20:

Sengi,njule auisanje niwanyama wadogo wafamiliaMacroscelididae. Jina la njule litumika kwajenasiRhynchocyon na isanje litumika kwaPetrodromus tetradactylus. WanatokeaAfrikakusini kwa Sahara katika maeneo mbalimbali. Sifa bainifu mno ya sengi nipua yao refu sana ambayo wanaweza kuipota ili kutafuta chakula. Hii inafanana kidogo namwiro watembo na ni chimbuko cha jina lao laKiingereza "elephant shrew". Miguu yao ni mirefu kwa kulinganisha na huenda wakirukaruka kamasungura. Rangi yao ni kahawia au kijivu kwa kawaida lakini spishi nyingine zina rangi kali pia kama nyekundu au njano. Hulainvertebrata kamawadudu,buibui,majongoo,tandu nanyunguyungu.

Spishi

[hariri |hariri chanzo]

Picha

[hariri |hariri chanzo]
  • Sengi pua-fupi
    Sengi pua-fupi
  • Sengi-nyika
    Sengi-nyika
  • Sengi-mawe mashariki
    Sengi-mawe mashariki
  • Sengi-mawe magharibi
    Sengi-mawe magharibi
  • Sengi Somali
    Sengi Somali
  • Sengi masikio-mafupi wa Namibia
    Sengi masikio-mafupi wa Namibia
  • Sengi masikio-mafupi wa Etendeka
    Sengi masikio-mafupi wa Etendeka
  • Sengi masikio-mafupi wa Karuu
    Sengi masikio-mafupi wa Karuu
  • Sengi kaskazi
    Sengi kaskazi
  • Njule wa Gedi
    Njule wa Gedi
  • Njule madoa
    Njule madoa
  • Njule kinguja
    Njule kinguja
  • Sengi wa Stuhlmann
    Sengi wa Stuhlmann
  • Njule wa Udzungwa
    Njule wa Udzungwa
Spishi zaMacroscelidea zilizo hai hadi sasa
Himaya:Animalia · Faila:Chordata · Ngeli:Mammalia · Nusungeli:Theria · Ngeli ya chini:Eutheria · Oda ya juu:Afrotheria
Macroscelididae

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia:Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sengi&oldid=1243545"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp