Sean Paul Ryan Francis Henriques[1][2] (alizaliwa 9 Januari 1973) ni mwimbaji na rapa wareggae nadancehall kutokaJamaika. Albamu ya kwanza ya Paul,Stage One, ilitolewa mwaka 2000. Alipata umaarufu wa kimataifa na albamu yake ya pili yaDutty Rock, mwaka 2002. Wimbo wakeGet Busy uliongoza chati yaBillboard Hot 100 nchiniMarekani, kama ilivyokuwa na nyimbo yaTemperature, kutoka katika albamu yake ya tatu inayoitwaThe Trinity ya mwaka 2005.[3][4]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link){{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)