Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

San Giovanni Rotondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
San Giovanni Rotondo,Puglia

San Giovanni Rotondo nimji wamkoa waPuglia,Italia Kusini wenye wakazi 27,355 (sensa yamwaka2011).

Mji huo ulipata maarufu kama makazi ya kudumu yapadriPio wa Pietrelcina hadikifo chake. Kwa sababu hiyo unatembelewa namamilioni ya watu kilamwaka, hasa waumini waKanisa Katoliki wanaomheshimu kamamtakatifu.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri |hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo yaItalia bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuSan Giovanni Rotondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=San_Giovanni_Rotondo&oldid=1179285"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp