Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Sampi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa1Ν ν Ni50
Β β Beta2Ξ ξ Ksi60
Γ γ Gamma3Ο ο Omikron70
Δ δ Delta4Π π Pai80
Ε ε Epsilon5Ρ ρ Rho100
Ζ ζ Dzeta7Σ σ ς Sigma200
Η η Eta8Τ τ Tau300
Θ θ Theta9Υ υ Ipsilon400
Ι ι Iota10Φ φ Phi500
Κ κ Kappa20Χ χ Khi600
Λλ Lambda30Ψ ψ Psi700
Μ μ Mi40Ω ω Omega800
Herufi za kihistoria1
Digamma6San90
Stigma6Koppa90
Heta8Sampi900
Yot10Sho900
1 Viungo vya nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_nje

Sampi (kwaKigirikiσαμπῖ iliandikwa kama Ͳ, Ϡ au ͳ, ϡ) ilikuwa kiasiliherufi ya ishirini na tano yaalfabeti ya Kigiriki kabla ya kusanifishwa.Sauti yake ilikuwa kama S au SS.

Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki kwa sababu lugha ilipoteza sauti hiyo. Alama ilitumiwa kwa namba 900 pekee.

Marejeo

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Sampi&oldid=1377765"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp