Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Saint Paul, Minnesota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Saint Paul, Minnesota
St. Paul

Bendera
St. Paul is located in Marekani
St. Paul
St. Paul

Mahali pa mji wa St. Paul katika Marekani

Majiranukta:44°56′39″N93°05′07″W /44.94417°N 93.08528°W /44.94417; -93.08528
NchiMarekani
JimboMinnesota
WilayaRamsey
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla287,151
Tovuti:  http://www.stpaul.gov/
Mahali pa St. Paul katika Ramsey County naMinnesota

Saint Paul ni jina la mji mkuu wa jimbo laMinnesota huko nchiniMarekani. Upo katika eneo laMto Mississippi kutokaMinneapolis. Pale watu wanapozungumzia kuhusu miji hii, wanaiitaMiji Pacha. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 300,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 214 kutokajuu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 145.5km².

Viungo vya Nje

[hariri |hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo yaMarekani bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuSaint Paul, Minnesota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Saint_Paul,_Minnesota&oldid=1337815"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2026 Movatter.jp