Movatterモバイル変換


[0]ホーム

URL:


Nenda kwa yaliyomo
WikipediaKamusi elezo ya maandishi huru
Tafuta

Saint Lucia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saint Lucia
Bendera ya Saint LuciaNembo ya Saint Lucia
BenderaNembo
Kaulimbiu ya taifa: The Land, The People, The Light
Wimbo wa taifa: "Sons and Daughters of Saint Lucia"
Royal anthem: "God Save the King"
Lokeshen ya Saint Lucia
Mji mkuuCastries
14°1 N 60°59 W
Mji mkubwa nchiniCastries
Lugha rasmiKiingereza
Serikali

Mfalme
Gavana Mkuu
Waziri Mkuu
Demokrasia
Jumuiya ya Madola
Charles III wa Uingereza
Cyril Errol Charles
Philip Pierre
Uhuru
Tarehe
KutokaUingereza
22 Februari1979
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
617 km² (ya 193)
1.6%
Idadi ya watu
 - [[]] kadirio
 -2005 sensa
 - Msongamano wa watu
 
2018 (ya 177)
178,696
299.4/km² (ya 29)
FedhaEast Caribbean dollar (XCD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC)
Intaneti TLD.lc
Kodi ya simu+1-758

-


Ramani ya St. Lucia

Saint Lucia ninchi ya kisiwani katikabahari ya Karibi na sehemu yavisiwa vyaAntili Ndogo. Iko katikati ya visiwa vyaSaint Vincent na Grenadini,Barbados naMartinique.

Kisiwa kina asili yavolkeno na eneo lamilimamilima.

Jina linatokana na lile laMtakatifu Lusia na kulifanya nchi pekeeduniani yenye jina lamwanamke.

Watu

[hariri |hariri chanzo]

Wakazi walio wengi ni waasili yaAfrika (85.3%), halafu machotara Waafrika-Wazungu na Waafrika-Wahindi (10.9%),Wahindi (2.2%), Wazungu (0.6%).

Lugha rasmi niKiingereza, lakini wananchi wengi (95%) wanaongea kwa kawaidaPatwah,Krioli inayotokana naKifaransa na kufanana naKihaiti.

Upande wadini, wengi niWakristo: 62.5% niWakatoliki, 24.5% niWaprotestanti (7%Waadventista Wasabato, 6%Wapentekoste, n.k.), 1.9% niWarastafari, 1.4%Wahindu n.k.

Tazama pia

[hariri |hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri |hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Nchi huru
Kamili
Sehemu
Maeneo chini ya nchi nyingine
Udani
Ufaransa
Uholanzi
Ufalme wa Muungano
Marekani
Makala hii kuhusu maeneo yaAmerika ya Kati bado nimbegu.
Je unajua kitu kuhusuSaint Lucia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwakuihariri na kuongeza habari.
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Saint_Lucia&oldid=1368069"
Jamii:

[8]ページ先頭

©2009-2025 Movatter.jp